Burudani

Hii video mpya ya Rick Ross Ft Ty Dolla $ign ‘I Think She Like Me’ enjoy…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kutoka kwenye album yake mpya ‘Rather You Than Me’ rapa Rick Ross ametoa video mpya “I Think She Like Me,” akiwa na Ty Dolla $ign.

Cd ya ‘Rather You Than Me’ imekuja baada ya album ya mwaka 2015 ‘Black Market’ chini ya Epic Records.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open