Burudani

Rick Ross amsajili Ty Dolla $ign kwaajili ya wimbo wa kwanza kwenye album mpya ‘Rather You Than Me’.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rick Ross amekamilisha promo ya album yake mpya na sasa ameanza kutoa nyimbo kutoka kwenye album hii iliyopewa jina ‘Rather You Than Me’.

Imetangazwa rasmi kuwa wimbo wa kwanza kwenye album hii utakuwa Rick Ross Ft Ty Dolla $ign “I Think She Like Me .

Rick Ross na Ty Dolla $ign waliwahi kusikika pamoja kwenye nyimbo kama “Lord Knows” na  “We Don’t. Rather You Than Me,inatoka mwaka  huu na ni album ya kwanza akiwa chini ya lebo ya Epic Records

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open