Burudani

Rick Ross na Ex wake Briana Camille wapata mtoto wa kike.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

HipHop Star Rick Ross na Ex wake model Briana Camille wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.

Boss wa MMG Rick Ross ameshatuma zawadi na maua kwa baby mama wake, Rick Ross na Mtoto wake wa kike walikuwa hospitalini wakati Briana anajifungua.

Fahamu kuwa Rick Ross yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwingine na wanajipanga kufunga ndoa mwaka huu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open