Burudani

Sababu iliyosababisha Vipodozi vya Rihanna kupigwa marufuku kwenye soko la China.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kutoa Vipodozi vyake staa wa RnB Rihanna amepokea taarifa mbaya kuwa bidha zake za Fenty Beauty hazitapata ruhusa ya kutingisha soko la China.

Sababu imetajwa kuwa ni Kutokukubali kwa Rihanna kwa bidha hizo kujaribiwa kwa wanyama kwanza kabla binadamu hawajauziwa.

Awali Rihanna aligoma kujaribu bidha hizo kwa wanyama sababu ya mapenzi yake kwa viumbe wote na alidiriki kujaribu bidha zote yeye mwenyewe kabla ya kuingia sokoni.

China hataweza kuuza Fenty Beauty kwa sababu Sheria Zao zinahitaji VIPODOZI vitakavyouzwa  lazima  vijaribishwa kwa wanyama kwanza.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open