Burudani

Picha,Rihanna atembelea Malawi ili kusaidia Elimu…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Rnb Rihanna ametembelea wanafunzi nchini Malawi, Africa kama njia ya kusaidia na kusambaza ujumbe wa Elimu Bora duniani kupitia Taasisi ya Clara Lionel.

Rihanna ambaye ni Balozi wa Global Citizen na Global Partnership for Education, amekutana na walimu na wadau wa Elimu nchini Malawi.

Hizi picha za RiRi akiwa na Global Citizen CEO Hugh Evans , Global Partnership for Education’s board of directors chair Julia Gillard nchini Malawi.

RiRi alianzisha taasisi hii ya Clara Lionel Foundation mwaka 2012 kama kumbukumbu kwa babu na bibi yake Clara na Lionel Braithwaite.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open