Burudani

Rihanna kupokea tuzo kutoka Harvard University….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rihanna ametajwa kuwa 2017 Harvard University Humanitarian of the Year na atakuja kwenye chuo hicho kupokea tuzo hio ya Peter J. Gomes Humanitarian Award Feb. 28.

Rihanna ametoa misaada tofauti duniani kama kujenga hospitali ya oncology and nuclear medicine kwaajili ya kutibu saratani ya maziwa ‘Queen Elizabeth Hospital’ iliyopo Bridgetown, Barbados,

Pia Rihanna ana Clara and Lionel Foundation Scholarship Program kwajili ya wanafunzi wanaosoma nchini Marekani.

Robyn Rihanna Fenty amekuwa miongoni mwa wasanii waliotoa misaada zaidi duniani,mpaka sasa staa huyu ameuza kopi milioni 200.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open