Burudani

Picha, Rihanna amenunua Jumba la kifahari mjini L.A lenye thamani ya dola milioni 6.8

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa RnB Rihanna amenunua Jumba la kifahari mjini Los Angeles lenye thamani ya dola milioni 6.8 za Marekani. Dalali wa nyumba hio aliomba dola milioni 8 kama bei ya kuanzia.

Nyumba hio ya kistaa ipo kwenye eneo wanaloishi watu maarufu kama Kendall Jenner.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open