Burudani

Kauli ya Chris Brown kuhusu Comment yake kwenye picha ya Rihanna

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Chris Brown amesema kuweka Comment kwenye picha ya Ex wake Rihanna ili kuwa kutengeneza BURUDANI Tu na sio hisia zingine.

Chris Brown alitengeneza KIKI Kubwa instagram wiki hii baada ya kuweka Emoji ya Kutoa MACHO kwenye picha yenye mvuto mkubwa ya staa wa Pop na RnB Rihanna ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na Chris Brown.

Pia Rafiki wa karibu wa Chris Brown alikanusha kuwa Chris kuwasiliana na Rihanna kwenye DM ya Instagram yake.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open