Burudani

The Rock atoa kauli kuhusu DRAMA Za kijinga za Tyrese Gibson na filamu yake mpya.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Akiongelea filamu yake mpya ambayo itahusu husika wake kutoka kwenye filamu ya The Fast & the Furious mwigizaji Dwayne “The Rock” Johnson amesema hana muda wa kujihusisha na UJINGA unaotoka kwa Tyrese Gibson kuhusu filamu yake kwa sasa.

The Rock anafanya filamu mpya peke yake kuhusu husika yake ya FNF anayoigiza kama askari mwenye nguvu na mkali sana #Hobbs.

The Rock amesema mpango wake kwa sasa ni kutengeneza filamu kubwa na bora zaidi kuhusu askari HOBBS,

Filamu hii mpya ya The Rock itahusu husika Hobbs & Shaw itatoka 2019 huku The Fast & the Furious 9 ikitajwa kutoka 2020.

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open