Burudani

Picha,Amber Rose anatambulisha rasmi bidhaa yake ya Viatu ‘MUVA FUKA’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Video model maarufu na Ex wa Wiz Khalifa, Amber Rose ametambulisha bidhaa yake ya viatu sokoni.

Kwa ushirikiano mkubwa na kampuni ya viatu ya Reebok, Amber Rose ametambuisha Viatu hivi vinavyoitwa ‘MUVA FUKA’.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open