Burudani

Picha,50 Cent kwenye mitaa ya New York na gari aina ya Rolls-Royce yenye thamani ya dola 588,000,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kulipa deni la dola milioni 22, Rapa 50 Cent amepigwa picha akiwa kwenye mitaa ya mjini New York na gari aina ya Rolls-Royce yenye thamani ya dola 588,000.

Gari hii imetengenezwa na kurekebishwa kwa mtindo na ubunifu wa 50 Cent binafsi.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open