Burudani

JAY-Z Kaitaja hapa sababu ya kuwapa watoto wake mapacha majina ‘Rumi na Sir’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

HipHop staa JAY-Z,47, ametoa sababu ya yeye ni mke wake Beyonce kuwapa majina Rumi na Sir watoto wao mapacha.

JAY-Z Anasema “Rumi ni jina la mshairi anayempenda zaidi na SIR ni jinsi anavyomuona mtoto wake kwa sasa ni vitendo vyake”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open