Burudani

RunTown athibitisha ujio wa colabo nyingine na WizKid

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa mkubwa wa muziki Nigeria RunTown amethibitisha ujio wa colabo nyingine na WizKid baada ya kukamilisha kurekodi muziki mpya wiki hii.

Kupitia twitter Runtown aliandika>Tumetengeneza muziki

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open