Burudani

Nyota wa Liverpool Sadio Mane atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa takribani wiki 6

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Nyota wa Liverpool Sadio Mane atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa takribani wiki 6 kufuatia kupata maumivu ya misuli ya paja aliyoyapata katika majukumu ya timu ya Taifa ya Senegal.

Mechi za EPL ambazo anaweza kuzikosa .

14/10/17 Liverpool vs Man Utd (H)

22/10/17 Liverpool vs Spurs (A)

28/10/17 Liverpool vs Huddersfield (H)

04/11/17 Liverpool vs West Ham (A)

18/11/17 Liverpool vs Southampton (H)

Baada ya taarifa hizi Rapa Mwana FA Ambaye ni shabiki mkubwa wa Man United aliandika Twitter….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open