Burudani

Picha,mtoto wa Obama ‘Sasha Obama’ akipewa busu moto moto kwenye tamasha la muziki

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Blog za udaku na mitandao ya kijamii Marekani inaongelea stori maarufu ya mtoto wa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama ‘Sasha Obama’ mwenye umri wa miaka 16 akipewa busu na kijana anayetajw akuwa ni mpenzi wake kwenye tamasha la muziki la LollaPalooza.

Weekend Hii Sasha na dada Yake Malia Obama walikuwepo kwenye tamasha hili wakila bata na kujiachia.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open