Burudani

Rafiki aliyempa figo Selena Gomez arudi gym baada ya mwezi mmoja kitandani.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rafiki wa Selena Gomez ‘Francia Raisa’ aliyejitolea Figo kwaajili yake amerudi Gym kurudisha mwili wake baada ya kuka kitandani kwa muda wa mwezi mmoja.

Francia mwalimu wa mazoezi na husaidia watu kupunguza mmili yao kupitia mazoezi na kula vizuri.

 

Happy to be back

A post shared by Francia Raísa (@franciaraisa) on


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open