Burudani

Selena Gomez aliachana na The Weeknd ili arudiane na Justin Bieber

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya video kusambaa inayomuonyesha Selena Gomez akimuingiza Justin Bieber  nyumbani kwake usiku, mapaparazzi sasa wamethibitisha kuwa chanzo cha The Weeknd kuachana na Selena Gomez ni Justin Bieber .

Wawili hawa walionekana pamoja usiku katika nyumba ya Selena baada ya kutazama mechi ya Hockey ambayo Justin Bieber alikuwa akicheza, Selena Gomez alikuwa amevalia jezi ya Justin, walionekana pamoja wakiingia katika nyumba ya Selena mjini Los Angeles.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open