Burudani

Picha,mapenzi moto moto kati ya Selena Gomez na The Weeknd…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Pop staa Selena Gomez na mpenzi wake mpya The Weeknd wanazidi kuteka vichwa vya habari na weekend hii wawili hawa walikuwa nchini Italy.

Selena Gomez na The Weeknd waliteka macho ya watu nchini humo baada ya kuteokea kwenye jumba la maonyesho ya sanaa na watu zaidi ya 20 walisogezwa pembeni ili mastaa hawa wapite.

Wiki chache zilizopita Justin Bieber alisema muziki wa The Weeknd ni WACK na kwanza hausikilizi kabisa.

Dully Sykes atoa kauli ya mwisho Kuhusu Kuwapatanisha Diamond Platnumz Na Ali Kiba

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open