Burudani

Picha mpya za Serena Williams na mtoto wake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wiki mbili baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza ‘Alexis Olympia Ohanian’ staa wa mchezo wa Tennis Serena Williams ameanza mazoezi makali ya kupunguza uzito.

Serena Williams,35, ameweka piha ya kwanza akiwa na bukta ya Jeans akionekana tayari ameanza kupungua.

Pamoja na picha hii mpya ,Serena alitoa picha mpya za mtoto wake Alexis Olympia Ohanian aliyezaliwa September 1,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open