Burudani

Mcheza tennis Serena Williams na mchumba wake Alexis Ohanian wapata mtoto wa Kike

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mcheza tennis maarufu dunia Serena Williams amejifungua mtoto wa kike.

Kwa mujibu wa ESPN dada yake Serena, Venus Williams amethibitisha taarifa hizi ijumaa hii.

Serena amejifugnua kwenye hospitali ya St. Mary’s Medical Center iliyopo Palm Beach, Florida

Huyu ni mtoto wa kwanza wa Serena na mchumba wake Alexis Ohanian, walikuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja kabla ya kuwa wachumba December mwaka jana.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open