Burudani

Shilole; Sio lazima nitengeneze KIKI ili kutoa wimbo mpya….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Diva Shilole amemwambia @Sammisago kwenye #FridayNiteLive kuwa sio lazima atngeneze KIKI Kila wakati akitaka kutoa nyimbo, lazima tubadilike na tusiishi kwa kukariri.

Shilole alikuwa akijibu swali kuhusu mapokezi na video yake mpya ya KIGORI nakusema Nimefanya video nzuri kama mtoto wa kitanzania,yenye maadili mazuri kwaajili ya kila mtu,sijakaa uchi kabisa kwenye video kama watu walivyozoea,tuanze kukubali muziki kwanza sio lazima kila siku niwe Shilole wa fujo fujo tu

Sammisago anakupa nafasi ya kuitazama video mpya ya Shilole kama ulipitwa

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open