Burudani

Baada ya ukimya wa miaka 15, Shania Twain ametoa wimbo mpya na kutangaza album….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya ukimywa wa miaka 15 msanii maarufu sana wa Pop duniani Shania Twain ametoa wimbo mpya na kutangaza ujio wa album yake.

Shania Twain mwenye uri wa miaka 51 sasa atatoa album mpya iliyopewa jina Now,  September mwaka huu.

Wimbo mpya unaitwa “Life’s About to Get Good,”  Isikilize hapa…

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open