Burudani

Picha, Shetta apata mtoto wa pili

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nurdin Bilal maarufu kwa jina la Shetta, amepata mtoto wa pili wiki hii.

Kupitia Instagram Shetta amethibitisha kupa ta mtoto huyunakuandika “Karibu duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa huyu mwingine, sasa Kayla uache kuringa”,

Kwa sasa Shetta ana watoto wawili Kayla na Qamrah Nurdin Bilal.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open