Burudani

Picha, Shilole na mpenzi wake Uchebe wafunga ndoa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Shilole na Mpenzi wake Uchebe ambao hivi karibuni waliripotiwa kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao wamefunga ndoa leo 6 December 2017.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa hii, ndoa hii ilikuwa siri na walioalikwa walikuwa marafiki wa karibu na familia tu.

Hongera kwa Shilole na Uchebe, Kila la Kheri kwenye Ndoa na maisha yenu #Tunawapenda

#StoriBy #Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open