Burudani

Nimeweka Hapa Picha 6 za NDOA Ya SHILOLE Na Mpenzi wake UCHEBE.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Shilole na Mpenzi wake Uchebe ambao hivi karibuni waliripotiwa kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao wamefunga ndoa leo 6 December 2017.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa hii, ndoa hii imefanyika Mikocheni na kwa siri, walioalikwa walikuwa marafiki wa karibu na familia tu, Meneja wa Diamond Platnumz ‘BabTale alisimama kama mzazi wa Shilole’.

#Inasemekana pamekuwa na tetesi kuwa Shilole ni mjamzito na kwamba anategemea kupata mtoto wa tatu, Mimba ni ya Uchebe.

Hongera kwa Shilole na Uchebe, Kila la Kheri kwenye Ndoa na maisha yenu

#StoriBy #Joe #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open