Burudani

Simon Cowell kutayarisha wimbo wa kuchangisha pesa kwaajili ya waathirika na wahanga wa moto London.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Producer na jaji wa vipaji vya muziki duniani Simon Cowell amejitolea kutayarisha wimbo utakao tumika kuchangisha pesa ili kusaidia Waathirika na Wahanga wa moto kwenye jengo la gorofa la  Grenfell Tower, mjini London ambapo watu 30 walipoteza maisha.

Jengo hili lipo umbali mdogo na anapoishi Simon Cowell na tayari amefanya mazungumzo na wasanii wa lebo yake #Syco kama Fifth HarmonyLittle Mix ,Louis Tomlinson ili kuandika na kufanya wimbo huu.

Wasanii wengine ni One Direction star Liam Paye,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open