Michezo

Record mpya aliyoweka Steph Curry leo kwenye NBA

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Steph Curry wa The Warriors leo amefikisha Pointi 3 #2000 katika Career yake katika Game 597 na kuwa mchezaji mdogo zaidi kufikisha namba hio ya Point 3 #2000 katika NBA na kwa haraka zaidi.

Steph Curry Amewahi zaidi kwa mechi 227 na ana umri wa miaka 29.

Steph kwenye mchezo wao na Pelicans wameshinda kwa point 115 – 125 Warriors huku staa huyu wa NBA akitoka kabla ya mchezo kuisha baada ya kuumia vibaya ankle yake na kushindwa kuendelea na mchezo.

Game zingine ziliisha kwa

Celtics 111 – 100 Bucks Kyrie Irving 32. Horford 20 Giannis 40 Reb 9

Bulls 91 – 113 Cavs Lebron James 23,Reb 7,Ast 6 Kevin Love 24, Reb 13 Huu ni ushindi wa Game 12 mfululizo kwa Cavs

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open