Michezo

Povu la Rais Donald Trump baada Steph Curry kasema hataki kwenda White House

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rais wa Marekani Donald Trump amefuta mualiko wa washindi wa ligi ya mpira wa kikapu ya NBA baada ya mchezaji wao Steph Curry kusema hataki kwenda Ikulu ya Marekani ‘White House’.

Baada ya Interview ya Steph kusamba mitandaoni na habari kumfikia Rais Trump, Kiongozi huyu wa Juu USA alitumia twitter kusema Mualiko wao umefutwa.

Rais Trump aliandika >Going to the White House is considered a great honor for a championship team.Stephen Curry is hesitating,therefore invitation is withdrawn!>> “Kuja White House ni heshima kubwa sana, sasa kama Stephen Curry anasita sita, mualiko umefutwa”

Baada ya hapo mchezaji mkubwa wa kikapu duniani LeBron James naye aliandika twitter maneno makali kuhusu kauli ya Trump.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open