Burudani

Mdau wa hiphop Suge Knight amefuta kesi dhidi ya Chris Brown

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mdau mkubwa wa hiphop aliyewahi kuwa mmiliki wa lebo ya Death Row Suge Knight amefuta kesi dhidi ya Chris Brown

Mwaka 2014 ilikuwa stori kubwa katika dunia ya hipop na Rnb baada ya Suge Knight kufungua kesi ya madai kutokana na majeraha na madhara aliyopata baada ya kupigwa risasi 7 katika show ya Chris Brown iliyofanyika katika ghahawa wa Usiku wa 1 Oak, huko West Hollywood, USA

Suge Knight aliwashtaki Chris Brown na uongozi wa Club hio, akidai fidia sababu hapakuwa na ulinzi mzuri eneo hilo.
JOTI Mchekeshaji mkongwe Tanzania amefunga NDOA

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open