Burudani

Picha za staa Shemar Moore akifanya show mpya ya Kipolisi S.W.A.T.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

S.W.A.T. ni Tv show mpya ya kipolisi inayotarajiwa kutoka November 2, 2017 ikiwa na staa mkubwa wa show za Tv na filamu nchini Marekani Shemar Moore ambaye awali alituburudisha kwenye show ya Tv ya Criminal Minds.

Toleo la kwanza la show hii lilikuwa mwaka 1975, Hizi ni baadhi ya picha za Shemar kwenye utengenezwaji wa show hii

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open