Burudani

Tiny hataki tena talaka, amuomba T.I arudi nyumbani…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mke wa rapa T.I amemuomba mume wake arudi nyumbani miezi miwili baada ya mwana mama huyo kutaka talaka yake.

Mwezi december mwaka jana Tiny alienda mahakamani na kutaka talaka siku chache baada ya ugomvi mkubwa na mume wake kuhusu picha alizopiga Tiny na hasimu mkubwa wa mume wake bondia Floyd Mayweather Jr.

T.i na Tiny wamekuwa pamoja kwa miaka 20 na kukaa kwneye ndoa toka mwaka 2010.
Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open