Burudani

Spark Tour ya Tecno Yajizolea Umaarufu Mjini

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

TECNO Mobile, kampuni inayoongoza kwa simu bora nchini Tanzania imetambulisha mfumo mpya wa burudani na matangazo nchini ukiambatana na  simu mpya katika mpangalio wa matokeo mapya ya SPARK. Tecno Mobile imeanzisha mtindo mpya wa kuwafwata wateja wake mitaani na kuwapa burudani kupitia wanamuziki mbalimbali.  Mtindo huo maarufu kama SPARK TOUR umekua maarufu katika kona za mitaa za Jiji la Dar es Salaam.

Tecno Spark ni simu  ambayo imekua gumzo kwa kuwapa wateja wengi wa kampuni hiyo furaha kwani bei inayouzwa linganisa na ubora wa simu hiyo ni faida kubwa kwa wateja wa Tecno Spark. Kupitia simu hii ya SPARK vijana wa kitanzania wameshawishika kuwasha cheche za vipaji  vyao na kuzionesha kupitia jukwaa la Tecno SPARK  udhamini wa karibu wa Tecno Mobile.

Afisa Mahusiano wa Tecno mobile Bwana. Eric Mkomoye amesema kua  nia na madhmuni ya Tecno ni Kuendelea kuwaltea  watanzania simu  bora  zenye uwezo mzur ila kwa bei  wanazoziweza kutokna na vipaji vyao. Aliongeza kua SPARK TOUR itawafikisha watanznia wote nyanda za ziwa, kaskazini  na hata mikoa ya katikati hivyo zawadi za aina mbalimbali ikiwemo Tecno spark yenyewe  zitatolewa.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open