Burudani

The Game yuko tayari kufanya colabo na Blac Chyna, azungumzia kesi ya Usher….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa The Game amefunguka juu ya sakata la Usher na watu watano wanaodai wameambukizwa gonjwa la ngono na staa huyu…

The Game anasema “Wanaomsema Usher wenyewe wanaweza kuwa na ugonjwa huo wa Herpes, mwacheni aishi maisha yake” 

Kuhusu colabo na Blac Chyna, The Game amesema “Mtu yoyote anaweza fanya chochote akiweka akili yake hapo, mimi naweza fanya naye kazi akiwa na mkwanja wa kutosha”.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open