Burudani

Sauti za hawa mastaa kutumika kwenye filamu mpya ya The Lion King….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji/Rapa Donald Glover aka Childish Gambino amechaguliwa kuigiza kama Simba kwa sauti yake kutumika kwenye filamu mpya ya The Lion King.

Taarifa hii imetolewa na muongozaji wa filamu hio Jon Favreau,

Glover ameshinda tuzo mbili hivi karibuni za Golden Globes kupitia kazi yake kwenye show ya Atlanta iliyoshinda Best Television Series

Donald Glover

James Earl Jones

Favreau pia ametangaza mwigizaji mkongwe James Earl Jones, ataendelea kuigiza kama Mufasa kwa sauti yake, Mufasa ni baba yake Simba kwenye filamu za Lion King.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open