Burudani

Tiwa Savage, Kenya nawashabikia zaidi Sauti Sol, video yao mpya iko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tiwa Savage ameongea kwa mara ya kwanza baada ya colabo yake na Sauti Sol na kusema nchini Kenya hao ndio wasanii wanaowapenda zaidi.

Tiwa anasema “Imekuwa heshima kubwa kufanya kazi na Sauti Sol, nawashabikia toka album yao ya kwanza mwaka ‘MWANZO’ ya mwaka 2008,nataka sana kufanya nao show tuimbe pamoja colabo yetu ya GIRL NEXT DOOR nchini Kenya”.

Nao Sauti Sol wamesema Tiwa “Tumeipenda colabo yetu na Tiwa Savage, tumekuwa tukimuangalia kwa muda mrefu ili kufanya nae kazi”.

Video kubwa kwa sasa Kenya ni Sauti Sol na Tiwa Savage ‘Girl Next Door’ .

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open