Burudani

Timbolu nae katoa POVU kuhusu AliKiba Vs Diamond Platnumz….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa Bongo Fleva Timbulo ambaye hivi karibuni amekuwa miongoni mwa wasanii wenye video bora kwenye Bongo Fleva na nyimbo kali redioni amefunguka kuhusu ushindani mkali wa AliKiba na Diamond.

Kwenye Instagram yake Timbulo anasema Umefika wakati sasa tujifunze kupeana nafasi na kuamini kuwa kila mtu nafasi alonayo ni mungu amemuweka hapo, haya mambo yakutoa nyimbo kisa fulan katoa unaeza kuta mnaimsaidia mtu promo, 
Tembea na hii:- Maandiko yanasema “anaejikweza atashushwa bali yule anayejishusha atakwezwa”
Like kama umma ungenyamaza kwa hili bac mawe yangepaza sauti!
Big up king kiba  @officialalikiba #seduceme is a smash hit Nb: Sipo #Ukawa wala #Ccm

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open