Burudani

Kuhusu Colabo ya Dayna Nyange na Tiwa Savage wa Roc Nation Ya JAY-Z

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kupitia SammisagoTV Mtanzania Dayna Nyange amefunguka kuhusu maongezi yake na msanii kutka Nigeria anayefanya kazi na lebo ya JAY Z ya Roc Nation Tiwa Savage,

Tiwa ni miongoni mwa wasanii wa kike wenye ushawishi kubwa Afrika na Duniani, amekuwa na mashabiki wengi Afrika na Nje kwa muda mrefu kutokana na ukubwa wa muziki wake,

Colabo na Mtanzania Diamond Platnumz tayari, Dayna je

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open