Burudani

Picha,Tiwa Savage kupata nafasi kwenye album mpya ya Dj Khaled..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii kutoka Nigeria chin ya Lebo ya Marvins Records Tiwa Savage anaelekea kupata nafasi ya kipekee kwenye album mpya ya Dj Khaled.

Dj Khaled hutengeneza album yenye wasanii tofauti nje na ndani ya Marekani, kutokana na kwamba kwa sasa Khaled na Tiwa Savage wapo kwenye lebo moja #RocNation , kuna uwezekano mkubwa Tiwa akaimba kwenye wimbo mmoja katika album hii ya 10 ya Khaled iliyopewa jina ‘Grateful’,

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open