Burudani

Hii video mpya ya kundi la TLC Ft Snoop Dogg ‘Way Back’ enjoy….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii video mpya ya kundi la TLC ‘T-Boz na Chilli ‘Ft Snoop Dogg, “Way Back.” kutoka kwenye album yao ya mwisho iliyolipiwa na mashabiki TLC. 

Album hii inatoka June 30, itakuwa album yao ya kwanza ndani ya miaka 15, TLC kwa sasa wanafanya kazi wasanii wawili tu na walikaata kuongeza mtu baada ya kifo cha Left Eye mwaka 2002.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open