Burudani

Birdman;tulikubali Tyga atoke Cash Money sababu mauzo yake hayakuwa mazuri..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

CEO Wa lebo ya Cash Money, Birdman amefunguka juu ya rapa Tyga kutoka kwenye lebo hio nakusema walimruhusu atoke sababu mauzo yake hayakuwa mazuri.

Birdman kasema haya baada ya Tyga kusema anaidai lebo ya Cash Money dola milioni $12 million huku Birdman akisema Tyga ndio anadaiwa dola milioni moja sababu alijitoa kwenye lebo kabla ya kumaliza album moja.

Tyga aliondoka Cash Money na kujiunga na lebo ya Kanye G.O.O.D. mwaka 2016.
Ben Pol Ana Mpango Wa Kumtumia Ebitoke Kwenye Video Yake Mpya

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open