Burudani

Tyga kupumzika Rap na kuimba zaidi kwenye album mpya

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Tyga ametangaza rasmi ujio wa album yake mpya itakayokuwa na muziki tofauti kutoka kwake.

Kwenye album hii mpya Tyga ataimba zaidi kuliko KuRap.

Kwenye Instagram Tyga aliweka video akiimba wimbo wa Usher “Nice & Slow” na wa Donell Jones’ “Where I Wanna Be.”

Baadae kwenye Twitter Tyga alithibitisha kwa kuandika “Y’all think I’m playing, that singing album coming soon😄.” akimaanisha >Nyie mnadhani nacheza, album ya kuimba inakuja hivi karibuni

Wasanii wengine wanaorapa na Kuimba ni pamoja na Chris Brown, Drake, Nicki Minaj na P Diddy.

Mwezi huu T-Raww anatoa Mixtape yake ya Bitch I’m the Shit 2, na kwenda tour na wasanii kama Chief Keef, RJ, na Honey Cocaine

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open