Burudani

Tyrese alazwa baada ya maumivu makali ya kifua

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tyrese amejipeleka katika hospitali mjini L.A. wiki hii baada ya kupata maumivu makali ya kifua ikiwa ni siku mija baada ya kutoka mahakamani katika kusikilizwa kwa kesi ya haki za malezi ya mtoto wao dhiidi ya Ex wake Norma Gibson.

Mpaka sasa taarifa zinasema staa huyu wa ‘Fast & Furious’ amekutwa na upungufu wa maji mwilini na anaendelea kufanyiwa vipimo vingine.

Tyrese na Ex wake Norma wamekuwa kwenye mvutano mkubwa kuhusu mtoto wao, pesa na hata Norman kusema Tyrese ameweka watu wamfuatilia muda wote kwenye maisha yake.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open