Burudani

Usher amejibu tuhuma za Kumwambukiza Quantasia gonjwa la ngono….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya ukimywa mwingi juu ya sakata la kuambukiza watu watano Herpes, msanii wa RnB Usher ameanza kuongea, staa huyu amekanusha vikali tuhuma za Quantasia Sharpton anayedai alifanya ngono na Usher bila kinga miaka miwili iliyopita akiwa na miaka 19.

Usher hajakanusha kukutana na Quantasia Sharpton ila hakumbuki tukio hilo la kumuita back stage,

Usher amethibitisha kuwa Quantasia Sharpton sio aina yake ya mwanamke na kwamba hajawahi kulala nae.

Usher huleta watu tofauti kwenye jukwa ili kuwapa nafasi ya kujiskia vizuri kutokana na mchango wao kama mashabiki.

Kwa mujibu wa wakili wake Lisa Bloom, Quantasia Sharpton hajasema ni kiasi gani cha pesa anataka kutoka kwa Usher na anataka mahakama iamue kuhusu kesi hii.

Mpaka sasa kuna watu wanne wanaodai walilala na Usher akiwa na gonjwa hilo, mmoja wao anadai dola milioni $20 million,

Kampuni ya Insurance ‘NYM&G Insurance Company’  inayosimamia issue za Usher imesema haihusiki na jambo hili sababu Usher hakuwaambia kuhusu hali yake.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open