Burudani

Mlalamikaji Quantasia Sharpton amesema ana Mkanda wa ngono akiwa kitandani na Usher.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Binti  Quantasia Sharpton aliyedai kuwa amelala na Usher Raymond na kupata gonjwa la ngono amesema amerekodi video akiwa kitandani na Usher.

Binti huyu ambaye mpaka sasa hajasema anataka kiasi gani cha pesa kutokana na kuambukizwa ugonjwa huo amesema anamkando wa ngono akiwa na staa wa RnB Usher Raymond, mkanda huo unamuweka Usher kwenye hoteli moja na binti huyo na utatumika kama ushahidi kwenye kesi hio.

Mpaka sasa Usher amethibitisha kuwa hajawahi kukutana kingono na dada huyu na hayuko tayari kumlipa mtu kwenye kesi hizo tatu zinazomkabili kutokana na matendo yake ya ngono bila kinga.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open