Burudani

Pamoja na kuzungukwa na skendo kubwa,Usher anaendelea kurekodi muziki na Jermaine Dupri.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ata baada ya kuzungukwa na skendo kubwa ya kuambukiza watu watano gonjwa la ngono, staa wa RnB Usher anaendelea kurekodi muziki wake, alikuwa studio na producer Jermaine Dupri.

Usher alikuwa mjini L.A. kwenye studio za Jermaine akikamilisha album yake inayotayarishwa na producer huyu.

Usher ameshatoa kauli ya kwanza juu ya skendo hio kwa kukanusha kulala na mwanadada Quantasia Sharpton.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open