Burudani

Picha, Mwanamke aliyeambukizwa gonjwa la zinaa na Usher aweka jina na sura yake Wazi.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwanamke aliyefungua mashtaka dhidi ya Usher akidai ameambukizwa gonjwa la Zinaa na Usher amejulikana

Laura Helm amelalamika kuwa ameambukizwa gonjwa la zinaa na Usher baada ya kufanya ngono na staa huyu mara mbili, anasema Usher hakumaliza tendo hilo na kila wakifika katikati alikuwa akikimbia bafuni, baadae ndipo alipogundua kuwa na aina flani ua kipele kwenye sehemu zake za siri.

Laura amesema anataka fidia ya dola milioni 20

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open