Michezo

Picha hizi,Manchester United imekamilisha usajili wa beki Victor Lindelof kutoka Benfica…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki Victor Lindelof ,22  kutoka klabu ya Benfica kwa ada ya Pauni milioni 30.7.

Victor Lindelof ameshawasili Carrington leo kwa ajili ya vipimo vya afya na kukamilisha usajili wa kujiunga na Man United.

Victor amekuwa target ya meneja Jose Mourinho toka January mwaka huu.


 

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open