Burudani

Video mpya ya kundi la Fifth Harmony Ft Gucci Mane ‘Down’, Itazame hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii video mpya ya kundi la Fifth Harmony Ft Gucci ManeDown‘. Kwa sasa kundi hili lina wasanii wanne tu baada ya msanii wao Camila Cabello kujitoa mwishoni mwa mwaka 2016.

Fifth Harmony kwa sasa linaundwa na wasanii Ally Brooke, Dinah Jane, Lauren Jauregui, na Normani Kordei 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open