Michezo

Caroline Wozniacki ashinda fainali za WTA na rekodi aliyoweka Venus Williams leo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Caroline Wozniacki wa Danemark amemshinda Venus Williams na kutwaa taji lake la kwanza kubwa tangu aanze kucheza mchezo huo.

Caroline akiwa na umri wa miaka 27 ameshinda fainali ya WTA nchini Singapore kwa seti 6-4 6-4.
Baada ya ushindi huo kwenye fainali iliyomalizika jioni hii Caroline amesema haamini kama ameweza kushinda mbele ya Venus Williams ambaye ni nguli wa tenisi kwa wanawake.

Baada ya kucheza fainali ya leo ya WTA, Venus ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kucheza fainali hiyo akiwa na umri wa miaka 37.


Picha na Video mbili zinamuonyesha Diamond Platnumz na Omarion wakifanya video ya colabo yao,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open