Burudani

Wale katoa video mpya ‘Colombia Heights’ Ft J Balvin, itazame hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Wale katoa video mpya ‘Colombia Heights’ Ft J Balvin, kwenye ngoma hii Wale kachana kwa lugha mbili, kingereza na Kispanish, huu wimbo upo kwenye album yake ya SHINE.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open